Uchaguzi mkuu 2015 ni moja ya chaguzi zenye utata mkubwa na mvutano wa
hali ya juu sana.Ili kuweza kutambua maoni ya watanzania mtandao
unaojitegemea(NGo) wa BIC umeanzisha mfumo wa upigaji kura ili kupata
maoni ya watanzania juu ya uchaguzi huu.Ili kupiga kura ingia hapa
http://jamesmbilinyi.blogspot.com/
No comments :
Post a Comment