Uliwahi kufikira kuna beach zinajengwa ndani ya majengo? katika nchi nyingi zilizoendelea hilo ni jambo la kawaida kuwepo kwa fukwe za kupumzika ndani ya majengo makubwa.

Fukwe
ya ndani inayoongoza kwa ukubwa zaidi duniani, inapatikana
Ujerumani..ukubwa wake ni sawa na viwanja nane vya mpira wa miguu
Indoor Beach – Tropical Island Resort














No comments :
Post a Comment