Sababu za kwanini Lowasa Anachukua Nchi?
1)Lowasa alifanya kazi kwa umakini wa hali ya juu sana
alivokua waziri mkuu kiasi cha kuaminka na kila mtanzania wa hali ya
chini.Issue iliyomchafua ni Richie tu ambayo hatuna uhakika nayo,kama kuna uhakika mahakama zipo.
2)Lowasa anainfluence kubwa sana nje na ndani ya CCM
so,kitendo cha yeye kuhamia Chadema anaondoka na wafuasi wengi sana kutoka CCM(kama tulivoshuhudia
madiwani 18 wa CCM waliohama kule pande
za kaskazi),wabunge takribani 86 wanatabiriwa kumuunga mkono kwa sababu ya
uchapa kazi wake alivokua waziri mkuu
3) Kama Lowasa ni fisadi wa Richie serikali ya CCM inaogopa
nini kumpeleka mahakamani kama tulivoshuhudia kwa mafisadi wengine ikiwemo wa
Escrow na kashfa nyingine
4)Lowasa anataka kuwa raisi ili ajisafishe kwa suala zima la
Richie,atajisafisha vipi ni kwa kuhakikisha anaeleza kinaga ubaga suala zima la
Richie na kuwachafua CCM kwa kueleza maovu wanayofanya na kuyakosoa kisawasawa(ikumbukwe
akifanya hivyo wananchi watakua na imani na yeye ,sawa atafanikisha adhma yake
ya kuwa raisi,lakini mambo yatakua mazuri kwa nchi yetu).
5)Lowasa ni mtu anayetoka ndani ya system ya Kifisadi na
kuamua kuenda nao kinyume kabisa(inamaanisha anataka kuwa mkweli).Kwa kuwa
nafahamu flaws za system ni rahisi sana kwa yeye kuweza kupambana nao.
6)Watanzania waelewa wanataka system corrupt ya CCM
ibadilishwe ili waone kuna nini ndani ya nchi hii.Its obvious viongozi wote
wanauchu wa madaraka ndio maana wanafanya siasa na kuchukua fomu za kugombea
Uraisi(hadi mimi napenda kuwa raisi).Ila hawa wapinzani wakiingia kwa system
cha kwanza watajitahidi kulinda heshima yao kwa wananchi(kwa kufanya nini?)
kufanyamambo ambayo CCM hawakuyafanya.Kwa maana hiyo life itakua beta kwa
wananchi.
Kwa nini makufuli anaweza kutochukua nchi?
1)Magufuli ni mtu ambaye alikua anainfluence kubwa sana ya
wananchi(moja wapo nikiwa mimi kabla sijagutuka),ndio maana MCC wanamtumia
kuficha makucha yao.Akibaki ndani ya corrupt system hakika hataweza kufanya
chechote cha ajabu(HILI JAMBO KILA MTANZANIA ANAPASWA KULITAMBUA) Magufuli
hafanyi kazi akiiwa raisi kwa matakwa yake binafsi(ambayo anayo mema hakika),
bali anafuata sera ya CCM(ambayo haikuweza kutekelezwa kwa miaka yote tangu
nchii inapata uhuru).Akiingia hamna
namna anaweza fanya kuwanyoosha watu wake CCM kama ni hivyo wangekubali
kubadilika now kabla hajaingia kwenye mchakato wa uchaguzi.
No comments :
Post a Comment