Aliyekua Naibu waziri wa Adhi na Mbunge wa Arumeru-Magharibi CCM bw Ole Medeye Ajiunga rasmi na Chadema.Vyombo vya uhakika vinasema mbunge huyo kaamua kuvua gamba na kuvaa gwanda.Swali la kujiuliza je hii ni just mwanzo wa mpasuko wa chama mama au?.Ikumbukwe Lowasa ametabiliwa kuondoka na nguvu kubwa ndani ya CCM.
No comments :
Post a Comment