- Watu wengi wanawaza kuwa yamkini EL angefaa kuwa mgombea urais kupitia CCM mwaka 2015. Kwa upande wangu naona na ninaamini hivi, Edward Lowassa hafai kabisa kuwa mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM kwa sababu:-
- Tuhuma dhidi yake kuwa ni fisadi mkubwa kwenye sakata la Richmond na hatimaye Dowans. Tuhuma hizi haziwezi kusafishika kwa namna yoyote. Labda tu ataje kwamba hahusiki na akiri hadharani (press conference) kwamba yuko tayari kutoa Endelea hapa...
Sunday, 29 March 2015
Sababu za Lowasa kutofaa kuwa Raisi!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment