Picha ya umpendae ni panadol tosha
Image credits: James Mbilinyi
Ijapokua
inatambulika toka kitambo kwamba uwepo wa njia mmbadala mfano madawa
husaidia sana katika maendeleo mazuri ya mgonjwa, hivi karibuni
imethibitishwa kitaalamu kwamba picha ya umpendae kwa dhati inafaa
kutumika kama njia mbadala ya kutuliza maumivu.Uchunguzi umefanyika na kwa waliojitokeza matokeo yamekua mazuri baada ya kuoneshwa picha za watu wawapendao kwa dhati.
Ndugu Mtanzania tumia njia hii kupunguza maumivu mbalimbali ya moyo!!!
No comments :
Post a Comment