Wakati nikiperuzi katika vyombo vya habari nimekutana na picha hizi za moto pamoja na kauli ya mmoja wa wapinzani James Mbatia alisema wako tayari kumpokea bwana Edward Ngoyayi Lowassa kuwania nafasi ya Uraisi kupitia muungano huo.Ikumbukwe kua Lowasa anamashabiki wengi sana especially mikoa ya kaskazini,hivyo akigombea kama inavyosadikiwa uchaguzi wa mwaka huu utakua wakihistoria kwa Mchuano mkali kati ya Magufuli na Lowasa.Vyanzo vinasema kesho tarehe 28/07/2015 UKAWA wanatangaza mgombea.
No comments :
Post a Comment