Saturday, 30 August 2014
Salimu Kikeke(BBC-Mtangazaji)
Salim ni Mtanzania anayetangaza vipindi mbalimbali katika Shirika la Habari la Uingereza (BBC). Safari ya kufikia mafanikio hayo ilikuwa na milima na mabonde, tabu na karaha.
Baada ya kumaliza Stashahada ya Umwagiliaji katika Chuo cha Kilimo Nyegezi, Mwanza, alikutana na changamoto kadhaa hasa ya kukosa ajira kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitatu mfululizo.
”Nilimaliza Stashahada yangu mwaka 1994 kozi ya Umwagiliaji, kwa sasa labda ningekuwa bwana shamba au mfanyakazi wa kilimo,” anasema Kikeke.
Baada ya kumaliza chuo, juhudi za kusaka ajira zilikuwa ngumu.Kwa karibu mwaka mzima wa 1995, alikwenda katika machimbo ya Tanzanite yaEndelea hapa....
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment