Mwanafunzi huyo pichani aliyetambulika kwa jina la August Eigifrid mwaka wa nne kozi ya Electromechanical alikutwa na ajari hiyo mbaya jana mida yaa saa tano usiku katika maeneo ya ubungo ambapo magari takribani matatu yalimburuza vibaya hadi kupelekea kifo cha mwanafunzi huyo.RIP
No comments :
Post a Comment