Hili ni jibu kuhusu Zari kujifungua >>>‘Zari ( @zarithebosslady ) Kujifungua in The Next 3 Weeks‘@diamondplatnumz >>>> @msetoea
Hapa kuna majibu pia kuhusu jina la mtoto wake na mpenzi wake Zari the Bosslady >>>> ‘Mtoto Wangu Atazaliwa Tanzania, Jina lake Bado Tunajadiliana na Mamake, Mimi nasema aitwe KENDI mamake anasema aitwe ZARA‘@diamondplatnumz >>>> @msetoea
Kajibu pia kilichomfanya ampende zaidi Zari >>>> ‘Mwanamke
ambae amekubali kunizalia nampa heshima sana, Nimekutana na Wanawake
lakini wengi waliniambia ngoja ngoja kama vile nilivyoimba kwa wimbo
wangu Nikifa Kesho’ ukizingatia ni Mwanamke maarufu, kiukweli Zari
kunizalia imenifanya nimpende Sana‘ >>>> @diamondplatnumz.#MamboMsetoLiveUpdates‘
Collabo na Ludacris? >>>>‘NANA ambayo nilifanya na MR FLAVOUR ilikuwa nifanye na msanii wa Marekani LUDACRIS‘ >>>> @diamondplatnumz#MamboMsetoLiveUpdates‘
Kusitisha collabo za nje ya TZ >>>> ‘I
was Misquoted, Sijasitisha Kufanya Collabo na Wasanii wa Nigeria ila tu
Tumepunguza maana sasa hivi nafanya kazi na wasanii wa pande zote za
Afrika, Juzi nimefanya na Donald wa Afrika Kusini na pia nyingine
nimefanya na Msanii wa Congo‘ >>>> @diamondplatnumz #MamboMsetoLiveUpdates
Collabo na wasanii wa Kenya je? >>>> ‘Kuhusu Kufanya Collabo na @bahatikenya na @willypaulmsafi, @diamondplatnumz
Amesema kuimba Gospel itakua tatizo maana ni muislamu labda wimbo ikawa
ni neutral maana hataki kuonekana kama anachokoza dini ila anawakubali
sana >>>> #MamboMsetoLiveUpdates
Kuna collabo na Wakenya inakuja? >>>> ‘Muda si mrefu Tutafanya kazi na @jaguarkenya , na @collinsmajale . Namkubali @chikuzee_kenya
pia ilikuwa nifanye kazi naye lakini aliyekuwa anamdhamini
alipotea….lakini hivi karibuni inshallah Tutafanya kazi moja kubwa na
msanii wa Kenya ambaye itatusua Afrika Nzima‘ >>>> @diamondplatnumz >>>> @msetoea
Anaitamani Siasa? >>>> ‘In future Ningependa kuja kuwa Waziri wa Michezo hata nishaambia Mamangu Sana ila si kwa sasa hivi‘ >>>> @diamondplatnumz#MamboMsetoLiveUpdates
Ana matumaini na Tuzo za MTV MAMA >>>> ‘Ukiangalia
ile hashtag ya MTV MAMA kwa Mitandao East African Tuko mbele. Sijui ila
Tunaweza tukachukua tuzo zote maana, wasipo tupa tuzo yeyote itabidi
niwaulize wanaangalia vigezo gani ikija kwenye maswala ya kupeana Tuzo‘ >>>> @diamondplatnumz #MamboMsetoLiveUpdates
Kafungukia tena kuhusu kilichofungua milango ya mafanikio yake >>>> ‘Siri ya mafanikio, uvumilivu, Discipline, na Kumwomba Mwenyezi Mungu, Hauwezi kufanikiwa bila kutokea Vikwazo‘ >>>> @diamondplatnumz#MamboMsetoLiveUpdates
No comments :
Post a Comment