Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva
ametangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais 2015 katika majimbo
matatu kwa mujibu wa taarifa ya NEC ambapo majimbo hayo ni Makunduchi,
Paje ya visiwani Unguja pamoja na jimbo la Lindi -Mtwara.
Matokeo hayo yalikua kama ifuatavyo:Makunduchi (unguja) magufuli 8406(81%)
lowasa 1769(17%)
paje unguja magufuli 6035(75%)
lowasa 1899(23%)
lulindi mtwara magufuli 31603(71%)
lowasa 11543(26%)
No comments :
Post a Comment