Watu wengi pande
mbalimbali duniani wamekuwa wakitazama tukio hilo lisilo la kawaida la kupatwa kwa
mwezi ambalo limetokea wakati mmoja na kuonekana kwa mwezi mkubwa kwa
Kiingereza "supermoon".
Mwezi huo mkubwa huonekana mwezi unapokuwa
karibu zaidi na njia ya mzunguko ya dunia, jambo
ambalo huufanya kuonekana mkubwa angani.
Kupatwa kamili kwa mwezi – ambako huufanya kuwa na rangi nyekundu – kulionekana Amerika Kaskazini, Afrika Magharibi na Ulaya Magharibi.
Tukio hili lilitokea mara ya mwisho 1982 na mara nyingine litaonekana 2033.

No comments :
Post a Comment