1.Mtoto wa Kikwete anagombea
7.Mtoto wa mgimwa anagombea
2.Mtoto wa Mavunde anagombea 8.Mtoto wa sokoine anagombea
3.Mtoto wa Warioba anagombea 9.Mtoto wa mwinyi anagombea
2.Mtoto wa Mavunde anagombea 8.Mtoto wa sokoine anagombea
3.Mtoto wa Warioba anagombea 9.Mtoto wa mwinyi anagombea
4.Mtoto wa Sitta
anagombea
10.Mtoto wa Nkya anagombea
5.Mtoto wa Bulembo
anagombea
11.Mke wa sitta anagombea
6.Mtoto wa Nauye anagombea 12.Mke wa
masaburi anagombea 13.Mtoto wa Kombani anagombea Ili waweze kuendeleza ukoo kwenye nafasi zote serikalini mfano za uwaziri, wakuu wa mikoa,wakuu wa mikoa,wakurugenzi wa halmashauri,wakurugenzi wa asasi na mashirika ya kiserikali (mf TANAPA,NSSF,PPF,TPA,TRA, nk. ..wameondoa madaraka yote aliyopewaa wananchi /watumwa kwenye rasimu ya katiba ya wananchi.
-wameondoa madaraka ya wananchi kuwajibisha mbunge mzembe
-wameondoa ukomo wa ubunge
-wameondoa kipengele cha mawaziri wasitokane na wabunge
-wameondoa kipengele cha kufanya watendaji wa kiserikali mf wakuu wa mikoa wasitokane na vyama
-wameondoa vipengele vyote ya kupunguza madaraka ya rais
-wameondoa kipengele cha kutaka jaji mkuu,mwenyekiti wa tume,wakurugenzi wa halamashauri, wasiwe wateuliwa wa rais
-wameondoa kipengele cha kupunguza idadi ya wabunge
-wameondoa kipengele cha kupunguza baraza la mawaziri, nk nk.
WATANZANIA WAKACHOKA NA HUU ULOFA NA KUTAKA MABADILIKO.
No comments :
Post a Comment