
Wakizungumza na waandishi baadhi ya wananchi wamesema mbali na
kutii kauli hiyo wingi wa askari polisi ambao wamesambaa maeneo
mbalimbali ya mji wamekuwa wakitia hofu wananchi.
Akizungumzia hofu hiyo mkuu wa mkoa wa Mtwara Halima Dendego
amesema jeshi la polisi limelazimika kuweka ulinzi huo baada ya kuwapo
kwa taarifa za kuandaliwa makundi mbalimbali kuzuia watu kupiga.
Watu laki saba ishirini na nane elfu na mia tisa 81 kutoka majimbo
kumi ya mkoa wa Mtwara wanatarajiwa kupiga kura siku ya jumapili
kuchagua rais, wabunge na madiwani
No comments :
Post a Comment