Welcome/Karibu sana!

Karibu sana/Welcome!

We provide an inspirational forum for people with challenges in life,businesses,education etc to exchanges ideas and share the solutions to the globe.We are mainly focused on youths who are especially facing many challenges in life.Mobile no:+255653259644

Looking for something?

Subscribe to this blog!

Receive the latest posts by email. Just enter your email below if you want to subscribe!

Monday, 12 October 2015

WIZKID IN DAR THIS OCTOBER!




Msanii mkali toka Nigeria WIZKID anatarajiwa kuwasha moto ndani ya jiji Dar oktoba 31 katika viwanja vya Leaders Club.Kampuni ya King Solomon Entertainment wakizungumza na waandishi wa habari leo wamesema kuwa wasanii wataomsindikiza WIZKID watatajwa hapo baadaye.Mkuu wa Masoko wa EATV/EARADIO Bwana Alex Galinoma amesema wao wameamua kujihusisha na tukio hili ya WIZKID kwakuwa wanaongoza kutoa burudani nzuri inayopendwa na vijana.WIZKID anatarajiwa kutoa burudani nzuri itakayoacha historia kubwa katika jiji la Dar es salaam pale Leaders Club oktoba 31.

No comments :

Post a Comment