Msanii wa kundi kali la Hip Hop Nchini Tanzania Joh Makini anazidi kuonesha unguli wake katika Industry ya Music,baada ya kutoa track hatari inayoenda kwa jina la Dont bother iliyotayarishwa na producer Nahreer na Kushutiwa na Justin Campos wa SA.Joh amemshirikisha rapper wa South Africa AKA ambaye anabifu na Casper Nyovest.Check it out!!Nyimbo hii inatarajiwa kuvunja anga la kimataifa kama ilivyokua kwa track yake ya NusuNusu illiyofanikiwa kushika chart za juu katika televisheni nyingi Afrika.
No comments :
Post a Comment