Maaskofu wamekutana tena jana mkoani
Dodoma na kutoa tamko lingine kuhusiana na mchakato wa mahaka ya Kadhi
pamoja na suala zima la kupigia kura katiba inayopendekezwa.
Wakizungumza kwa pamoja wamesema kwamba
wamewataka waumini wao kupigia kura ya ‘hapana’ Katiba Inayopendekezwa
na kusisitiza kwamba msimamo wao huo utabaki kama ulivyo.
Soma hapa tamko la Jumuiya ya Maaskofu Tanzania.Endelea hapa...
No comments :
Post a Comment