Tume ya Uchaguzi wa taifa la
Tanzania, kukabiliwa na na msisitizo wa muda mrefu wa wananchi juu ya
kuahirishwa kwa tarehe ya kufanyika kura ya maoni kuhusu katiba
inayopendekzwa na tume hiyo kutoa msimamo kwamba tarehe haitobadilika,
leo hii tume hiyo imetoa kauli tofauti. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ,
Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza kuwa zoezi hilo la kura ya maoni
limeahirishwa, jambo ambalo limezua hisia tofauti nchini.
No comments :
Post a Comment