Thursday, 2 April 2015
Vitambulisho vya utaifa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam
Baadhi ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam wakijaza fomu kwaajili ya vyeti vya utaifa,wataalamu mbalimbali walitembelea chuo hicho kwa ajili ya kuhamasisha wanazuoni hao waaweze kujaza fomu hizo ili wapate vitambulisho vyao kama raia halisi wa Tanzania.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment