Asubuhi
ya leo kumeamka na story nyingi sana zikiwemo pia za mh LOWASA kuanza
mazungumzo na mwenyekiti wa CHADEMA FREMAN MBOWE kwa ajili ya kujiunga
nao,habari ambazo zimeanza kuenezwa na account ya facebook inayohisiwa
kuwa ya msemaji wa chama kipya cha ACT wazalendo zinasema kuwa
mazungumzo hayo yanafanyika kwa ajili ya mh LOWASA kujiunga na chama
hicho.Baada ya taarifa hizo kuenezwa naye msemaji wa CHADEMA akaibuka na
kuzikanusha mara moja kwa kile alichosema kuwa ni uzushi na hazina
ukweli,
No comments :
Post a Comment