Mwanasiasa Mkongwe Kingunge Ngombare Mwiru ametangaza kujiondoa ndani ya CCM na sasa anabaki kua mwananchi huru.Kingunge amesema kutokana na matukio yaliyotokea katika kumpata mgombea uraisi kupitia chama hicho kuwa tofauti na miaka mingine,hivyo ameamua kuondoka ndani ya chama cha CCM.
"Hali ya sasa jinsi ninavyoona vijana,wafanyakazi,wakulima wanataka mabadiliko na mimi nipo upande wa mabadiliko kwa sababu wakati tukiwa TANU tulifanya mabadiliko na kuunda CCM" kINGUNGE
No comments :
Post a Comment