Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Adel Mwamunyange amekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu General Davis Mwamunyange kulishwa sumu, asema Mwamunyange ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kikazi.
Looking for something?
No comments :
Post a Comment