Katibu mkuu wa CCM alijikuta akikubali mambo ambayo chama hicho kikongwe kimekua kikigoma kuyakubali baada ya wanachi kuonesha hamu kubwa ya kufanya mabadiliko baada ya kuchoshwa na viini macho vya CCM
Kinana"Sisemi kwamba CCM hatujafanya
makosa, tumefanya makosa na tumekuwa na kasoro pamoja na mapungufu
lakini nani asie na mapungufu? tumejitahidi wengine walaji wengine
waporaji, wengine hawasaidii Wananchi, wengine uongozi kwa maslahi yao…
haya ni mambo tunahangaika kubadilisha kila siku"
No comments :
Post a Comment