Mgombea
urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda umoja
wa katiba ya wananchi UKAWA, Edward Lowassa amehitimisha kampeni zake
kanda ya ziwa na kufanya mikutano mikubwa inayotajwa kuvunja rekodi
ndani ya kada ya ziwa.
Baada ya kuvunja rekodi kwa kufanikiwa kufanya mikutano mikubwa
kanda ya ziwa, mgombea urais Edward Lowassa anasema kazi ni moja tu.
Elimu ya namna watakavyo jihakikishia ushindi oct 25 ikatolewa.
Alikokuwa amefikia jiji Mwanza kwa mara zote umati mkubwa wa
wananchi ulikuwa ukijitokeza jambo lililowapatia wakati mgumu maafisa wa
polisi jiji Mwanza.
No comments :
Post a Comment