Watanzania
wametakiwa kuhakikisha wanamchagua kwa kura nyingi zaidi mgombea wa
urais Edward Lowassa, kwani serikali itakayoundwa chini ya umoja huo
itahakikisha inarejesha katiba ya wananchi.
Wakati joto la uchaguzi likizidi kupanda nchini, Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema taifa
Aidha amewahakikishia watanzania kuwa kwa mara ya kwanza hakuna
kura hata moja itakayoibiwa na CCM, huku akiwataka kuhakikisha wanalinda
kula kikamilifu.
Hayo yanajili ikiwa ni miaka 54 sasa Tanzania ikiwa chini ya utawala wa chama kinachotajwa kuchokwa na watanzania cha CCM.Akiwa bado ndani ya kanda ya ziwa, mgombea wa urais Edward Lowassa
ameendelea kupata mapokezi ya kifalme ambapo hii leo amehutubia mikutano
mikubwa minne katika majimbo ya Ngara mjini, na vijiini, Bilaharamuro
kabla ya kuhimisha kwa kishindo katika uwanja wa maswimbwe mjini Mbogwe,Mgombea huyo wa urais Edward Lowassa na timu yake ya kampeni
anatarajiwa kuhitimisha kampeni zake kanda ya ziwa kwa kuhitimisha kwa
wilaya zote zilizoko ndani ya jiji la Mwanza.
No comments :
Post a Comment