Mgombea
wa nafasi ya urais kwa tiketi ya Chadema, anayeungwa mkono na vyama
vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Edward Lowassa ameitaka
tume ya uchaguzi kuhakikisha inafanya shughuli zake kimamilifu na bila
kupendelea upande wowote kwani kushindwa kufanya hivyo ni kuliingiza
taifa kwenye machafuko.
Mgombea huyo wa nafasi ya urais Edward Lowassa ametoa onyo hilo
kali kwa tume ya uchaguzi nchini katika siku yake ya mwisho ya kampeni
kanda ya ziwa.
No comments :
Post a Comment