Thursday, 15 October 2015
MIKOA HII INATOSHA KUMPA RAISI USHINDI!!
NEC imetoa mchanganuo wa idadi ya wapiga kura kwa kila mkoa huku mikoa tisa imetajwa kuwa na idadi kubwa ya wapiga kura ambayo inaweza kutoa ushindi kwa 63% kwa nani atakayeingia Ikulu October 25, baadhi ya mikoa hiyo ni Dar es salaam ikiwa na watu milioni 2 waliojiandikisha, Mwanza, Kagera, Arusha, Dodoma, Morogoro na Mbeya ikiwa na idadi ya watu zaidi ya milion 1 waliojiandikisha
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment