.
Balozi wa NATO
wa zamani kutoka Marekani, Nicholas Burns,amesema kujitoa kwa Uingereza
katika jumuiya ya Ulaya kunatarajiwa kubadili uelekeo wa Marekani na
kuifanya Ujerumani kuwa kitovu kipya cha masuala ya kidplomasia ndani ya
Ulaya.
Nafikiri Ujerumani imekuwa imekuwa ikiimarika ndani ya Ulaya kwa muda mrefu sasa.
Hivyo
kama Uingereza ikijiondoa EU tutapata mshirika mpya ,Ujerumani,na
haitakuwa kwamba na ubora wa ushirikiano kama wa Uingereza tu,bali
tutakuwa tumepata mshirika makini zaidi ambaye ni Ujerumani.’’
Burns amesema Uingereza ilikuwa ikiiwakilisha Marekani ndani ya jumuiya ya Ulaya,hivyo
Wamarekani
kuna wakati wana sahau kama Jumuiya ya Ulaya ni mdau wetu mkubwa
kibiashara,mwekezaji wetu mkubwa, na Ulaya ni mkusanyiko wa asasi za
kimarekani duniani na ndani ya NATO.
Hivyo uingereza ni mwanachama muhimu ndani ya asasi hizo za Marekani.
Nafikiri wanasiasa wa Marekani wana wajibu wa kuishawishi Uingereza kusalia EU
No comments :
Post a Comment