Name:  unnamed.jpg
Views: 3874
Size:  73.5 KB
Hakika huyu ni nembo ya Taifa na Afrika Mashariki, anazidi kutuwakilisha vizuri baada ya kujishindia tuzo tatu:
-Best Male East Africa
-Best dance in a video- nana) ft. Mr. Flavour
-Artist of the year

Pia wimbo wa Alive alioshirikishwa na Brackets wa Nigeria umeshinda tuzo ya Afrimma Inspirational Song of the year
Kwa ushindi huo Dimond ndio mwanamuziki aliyeshinda tuzo nyingi zaidi, akifuatiwa na AKA aliyeshinda tuzo mbili, huku Davido, Wizkid, Vanessa Mdee wakichukuwa mojamoja kati ya wengi walioshinda.
========================
Hii ni orodha ya washindi.
Best Male (South Africa) – AKA
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female (West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’
Best DJ (US) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz
Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’
Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’
Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’
Artist of the Year – Diamond Platnumz
Legendary Award – Yossou N’Dou