Anamaanisha nini? wacha tusubiri mwezi wa tisa kama Chadema hawajatii amri yake.Rais Magufuli amekua akilalamikiwa na Chadema kwa mfumo wake wa uongozi ambao unadaiwa kua wa kidikteta,kwa upande mwingine wananchi wa hali ya chini wameonekana wakisupport system ya raisi kwa asilimia kubwa.
No comments :
Post a Comment